Teh...hayaaahahha sasa hv anajiita beira baby boy !haaha nachoka kbs yupo shoga !
Unasalimiwa...
View attachment 592356
Kamata zawadi hii[emoji39][emoji39][emoji39]Mzee wa viwango vya juu kuliko vya TBS.
Wadau kwani hii ni kitu gani?
Kamata zawadi hii
Malizia basi hii picha na yale maeneo yetu muhimu 🙂
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Kazi ni kwako kiongozi...
hahaha mkuu humu ndani kuna fitnaHahahahaha lol! Umenikumbusha uzi mmoja humu jamaa alimuanzishia mrembo mmoja humu na uzi ule ulikuwa mrefu sana huku wengi wakimshinikiza mrembo akubali. Binti alikuwa anaelekea kukubali kuingia kwenye anga za jamaa. Njemba moja humu ikafanya yake mrembo hakutoa jibu na mchezo ukaishia hapo. Ngoja ngoja utakuta mwana si wako.
Hahahah naona hivi karibuni MBITIYAZA amekuwa mwanamke anaehusudiwa zaidi hapa Jf. Kila wiki wadau lazima wapigane vikumbo ktk kumuanzishia uzi mrembo huyu ambaye ni mke wa mtu. Jamani eeh Ngosha bado yu hai
Kaaazi kwelikweli
hahaha usijali best,siko serious,najua hii ndio raha ya Jfahahha alafu bas usihis wako serious !huyu mhehe huyu nilipotezana naye kitambo km miez kadhaa baada ya kubadili jina langu !huwa nachat naye kihehe tupu ! naye kaibukia desgn hii !lol !ila kuna mume sasa wajf' beira baby boy' !lol! kuwa na aman mie najuaga ni utani coz mie maisha yangu yaoio hvyo too !nuthng serious !
hahaha usijali best,siko serious,najua hii ndio raha ya Jf
Aisee mkuu shemeji kwa nani tena?Maisha changamoto sana shemeji yangu, vijana hawa maji ya moto, maneno mengi hawana vitendo .... sema tu nimeacha hizi tabia za vijana,
Mbitiyaza unayafahamu hayo matunda??? Tunaitaga finyitaki
Mbitiyaza unayafahamu hayo matunda??? Tunaitaga finyitaki
Umetisha ugasele mbegali igoooo uwiiiiiinnm hata Mm hapo umeniachaaahahhaa ndo nimeyaon humu hapana siyaju ! mie naijua mikusu ,misasati,mabelini.mapingesi ,tunda nyanya,songwa,huhu uwii unanikumbusha mbali bwan wee