Nampenda Mbitiyanza

Nampenda Mbitiyanza

View attachment 592353
Singapore my home land.

Karibu sana Singa BAK

Nasikia huku Singapore mnagonga sana haya makinikia...
Punda-1.jpg
 
Hahahahaha lol! Umenikumbusha uzi mmoja humu jamaa alimuanzishia mrembo mmoja humu na uzi ule ulikuwa mrefu sana huku wengi wakimshinikiza mrembo akubali. Binti alikuwa anaelekea kukubali kuingia kwenye anga za jamaa. Njemba moja humu ikafanya yake mrembo hakutoa jibu na mchezo ukaishia hapo. Ngoja ngoja utakuta mwana si wako.
hahaha mkuu humu ndani kuna fitna
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahah naona hivi karibuni MBITIYAZA amekuwa mwanamke anaehusudiwa zaidi hapa Jf. Kila wiki wadau lazima wapigane vikumbo ktk kumuanzishia uzi mrembo huyu ambaye ni mke wa mtu. Jamani eeh Ngosha bado yu hai
 
ahahha alafu bas usihis wako serious !huyu mhehe huyu nilipotezana naye kitambo km miez kadhaa baada ya kubadili jina langu !huwa nachat naye kihehe tupu ! naye kaibukia desgn hii !lol !ila kuna mume sasa wajf' beira baby boy' !lol! kuwa na aman mie najuaga ni utani coz mie maisha yangu yaoio hvyo too !nuthng serious !
 
hahaha usijali best,siko serious,najua hii ndio raha ya Jf
 
Back
Top Bottom