Nampenda Mbitiyanza

Nampenda Mbitiyanza

Taratibu mkuuu,
Mimi niliwahi nasubiri mwisho wa mwezi ufike niende PM tukabonge ingawa kaolewa ila sitorudi nyuma kamwe nitapambana tuu.
 
Hahahahaha lol! Umenikumbusha uzi mmoja humu jamaa alimuanzishia mrembo mmoja humu na uzi ule ulikuwa mrefu sana huku wengi wakimshinikiza mrembo akubali. Binti alikuwa anaelekea kukubali kuingia kwenye anga za jamaa. Njemba moja humu ikafanya yake mrembo hakutoa jibu na mchezo ukaishia hapo. Ngoja ngoja utakuta mwana si wako.

Taratibu mkuuu,
Mimi niliwahi nasubiri mwisho wa mwezi ufike niende PM tukabonge ingawa kaolewa ila sitorudi nyuma kamwe nitapambana tuu.
 
Back
Top Bottom