Nampenda Mbitiyanza

Nampenda Mbitiyanza

hahaha eya be naskia mafinga pamekuw mcharo hatar ! huo huo mwez ni mzuri sana kwenda huko ! nipitiege be
Umeonaaaaa tukale pasaka huko ubwabwa na dog Meat... alafu sahvi hadi bombadier inafika teh teh teh ,,, Ila baridiiii Mmmhh
 
Umeonaaaaa tukale pasaka huko ubwabwa na dog Meat... alafu sahvi hadi bombadier inafika teh teh teh ,,, Ila baridiiii Mmmhh

hhahaa linatua kule kihesa? nimesahau jina sijui nduvini teh teh ngj nijipange au inatua njombe! hahha kitu cha dogmeat kule ipogoro tunanunua na mahwange(unayajua)?
 
Inatua maeneo ya kinyanambo c... Teheee teheee mahwange... Damu inawekwa kwenye utumbo then inachemshwaaa weeee
 
Inatua maeneo ya kinyanambo c... Teheee teheee mahwange... Damu inawekwa kwenye utumbo then inachemshwaaa weeee

hahaha umewah kula? mie hapana jaman eish uwii ptu! kumbe kinyanambooo hehhehe narudi iringa jaman
 
hv ndo wewe uikua unachat na mm two weeks ago kihehe au sio ww mweee!
 
Niliposoma kichwa cha habari haraka haraka nilidhani anagajwa mbutananga??

FLORA%2BWITH%2BMCPILIPILI%2B2015%2B071.JPG
 
Back
Top Bottom