MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Soon itakuwa inafika hadi mgororo na kibaoni beeee
hahhaa wahehe wakule jaman sipatii picha be !watapanda mameneja wa chai tu na maasistant tu ! ifikebe inishushe mtwango mie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon itakuwa inafika hadi mgororo na kibaoni beeee
Niliposoma kichwa cha habari haraka haraka nilidhani anagajwa mbutananga??
![]()
Duuh ni manini vile...matoko, mathrogho
Mmenogesha kweli kweli na kilugha chenu kigumu ...
Aisee mkuu shemeji kwa nani tena?
Mimi nipo uheheni hapa mwaka wa tatu tu, naishia kujua kamwene nofuwela[emoji14] [emoji14] [emoji14]kihehe nui kirahis sana !kuliko kisukuma ! nawapenda sana wahehe jaman !
Yeah mkuuMkuu, umenichekesha, nilijua uta react .... ha ha ha!!!!!