Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

Nampenda mchepuko wangu kuliko mke wangu

Mbona mimi kama vile siamini? Hebu nionyeshe mkeo ili niamini.
 
Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye anatambua nafasi yake vizuri, yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa, kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani.

Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula mawese tu ila kwa kadiri siku zinavyokwenda huyu mwanamke ananivutia saana kwa tabia yake.

Ni mwanamke mmoja mwenye tabia fulani ya kidini hivi mpaka najuta kabisa kumuona; nyuma labda yeye ndo angekuwa mke wangu. Hivi
Kibaya nina mke na wala hajui maana nilimdanganya kuwa sijawahi kuoa kabisa mimi ni bachela ila nimenogewa kabisa.

Mpaka hapa nilipo natamani mke wangu anichiti ili nipate sababu ya kumuacha nimechoka na mapenzi ya kesi kila kukicha.

Dunia raha
Hongera. Endeleza Upendo tu , cha msingi asikufilisi.
 
Kipimo mojawapo cha kujua iwapo huo mchepuko unakupenda Kwa dhati ni iwapo yuko na Uhuru wa uchumi iwapo sio mwanamke tegemezi.

Lakini iwapo kama ni jobless au kipato chake ni kidogo na Kama unampaga hela ujue anakupendea hela ukifulia hatakupenda tena!
Na ndipo utakapoanza kuziona rangi zake halisi zote!
 
Back
Top Bottom