Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi?

Rejea kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana wa kiume ambae ninafarijika kila nikiona post au hread za Miss Chagga na kwakua mimi sio mwanamziki nimeshindwa kumuimbia nyimbo,kwakua mimi sio mwanasoka nimeshindwa kufunga goli nikaonyesha tshet yenye ujumbe lakini kwakua mimi ni mwana JamiiForums hii, nimeamua kufunguka ajue kuna mtu anampenda sana na natamani nimjue tena ana kwa ana.

Wako mtiifu na akupendae

Bomouwa
 
Miss Chagga njoo huku umependwa................ afu sijajua ndo yule wa instagram? hebu njoo afu naomba unijibu Manka wa kikwetu.
 
HUYO HAPOO ENDELEA KUMPENDA SASA
 
unaweza kumfahamu lakini kumjua naona unaenda mbaali zaidi
 
Miss Chagga njoo huku umependwa................ afu sijajua ndo yule wa instagram? hebu njoo afu naomba unijibu Manka wa kikwetu.
Mimi ni mchagga wa marangu nimeoa na ninamtoto ila sijampenda kama mnavodhani.. bahati mbaya sipo mtandao wa kijamii zaidi ya whatsapp na jf...bila kusahau email addresses baaas
 
unaweza kumfahamu lakini kumjua naona unaenda mbaali zaidi
Kaka ni mke wako nini?unadadavua maana semantically and not thematically ndio tatizo..[emoji1] [emoji1]
 
Usijali atakufata huko PM ili mfahamiane zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…