Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Kaka ni mke wako nini?unadadavua maana semantically and not thematically ndio tatizo..[emoji1] [emoji1]
mkuu usiwe na hofu naelewa haya maneno kufamu na kujua mara nyingi tunayatumia kimakosa japo nia ni njema...naye anakupenda ..hongera kwa kufunguka ikiwezekana pambana unaweza ku.....
 
Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
Hata yeye Miss chagga anajua kama Inno laka....mtoto mdogo naye miliki pesa nyingi NAMPENDA.
 
mkuu usiwe na hofu naelewa haya maneno kufamu na kujua mara nyingi tunayatumia kimakosa japo nia ni njema...naye anakupenda ..hongera kwa kufunguka ikiwezekana pambana unaweza ku.....
Yaani mimi hamu yangu nimjue tu... walah nitalala usingizi ambao sijawahi lala haijalishi hata awe mbaya kama wema..
 
Back
Top Bottom