Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

mkuu ukiona uzi kama huu ujue watu wameamua kufurahi tu, japo watu huvutiwa na aina ya uandishi na vionjo vya maneno ya baadhi ya members humu, but mara nyingi uzi kama huu hakuna u serious wowote mkuu
Ok nashukuru nimekuelewa.
 
[emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaka.picha uliotuma intelligency yangu imenipa taarifa anaitwa Hellen Dawsen... je ndo miss chagga?
 
Kaka.picha uliotuma intelligency yangu imenipa taarifa anaitwa Hellen Dawsen... je ndo miss chagga?
miss chaga haitwi hellen yeye jina lake linaanzia na CL...
 
1457701085801.jpg

Au sio.huyu mshana jr?
 
Dunia imebadilika means za kutafta image recognition all over the world ni rahisi... you only need to have clear image na kama huyo mtu anataarifa zozote basi anapatikana kirahisi tu..
Na ndio maana siku hizi wanaume wengi wamekuwa wa kike
 
6021bb4c3b43e60955561509d31bc6d4.jpg
mashaullah mtoto wa kiume huyu
Najaribu tafuta mantiki kuconnect mahusiano ya "facial recognition" na wanaume kua kama watoto wa kike sijapata.. msaada kidogo.. yaani kwa mimi kufaham huyo ni.Hellen ndio msingi wake amaa?
 
Back
Top Bottom