Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Aisee nikajua ni ww mkuu! Hebu pachika picha yako hata siku moja tukufahamu.
Compact mbona kama msaidizi wa miss chagga?au unataka mtu ajitokeze akupe na wewe uzi wako mahsusi?
 
bomouwa karibu sana nakupenda pia .. utaniona tu
ahaaa utanambia vizuri jioni, kumbe mnapendana siku nyingi leo mmeamua kuniweka wazi eeeh, ngoja nirudi kazini, ikiwezekana uanze kupaki mabegi yako mapemaaa
 
Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii

Akuu! Mie sio second best yeye kamzimikia mtoto wa kichaga
 
ahaaa utanambia vizuri jioni, kumbe mnapendana siku nyingi leo mmeamua kuniweka wazi eeeh, ngoja nirudi kazini, ikiwezekana uanze kupaki mabegi yako mapemaaa
Jambilo kwakua nampenda miss chagga tafadhali kama ni mke wako usimfanyie hivyo maana mimi nimempenda ingawa hata simfahamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…