Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
SASA SI UANZE KU PM UTAKOSA UHONDO CHANGAMKIA WAKATI NI SASA......Wewe kama ni mtani utakua mpare tafadhali fikisha ujumbe... natamani ona msg yake pm lakini mpaka sasa kimyaaaa[emoji17]
na ile hela ya ujenzi niondoke nayo? fundi akuja tena wala zile bati sijanunua badoahaaa utanambia vizuri jioni, kumbe mnapendana siku nyingi leo mmeamua kuniweka wazi eeeh, ngoja nirudi kazini, ikiwezekana uanze kupaki mabegi yako mapemaaa
mkuu usiwe na hofu naelewa haya maneno kufamu na kujua mara nyingi tunayatumia kimakosa japo nia ni njema...naye anakupenda ..hongera kwa kufunguka ikiwezekana pambana unaweza ku.....Kaka ni mke wako nini?unadadavua maana semantically and not thematically ndio tatizo..[emoji1] [emoji1]
naona wameamua kuniweka hadharani naona aibueti wewe ndo huyo hapo juu...
Hata yeye Miss chagga anajua kama Inno laka....mtoto mdogo naye miliki pesa nyingi NAMPENDA.Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
Rubii acha hasira ipo siku utapendwa tu kwanza baba na mama wanakupenda...
Yaani mimi hamu yangu nimjue tu... walah nitalala usingizi ambao sijawahi lala haijalishi hata awe mbaya kama wema..mkuu usiwe na hofu naelewa haya maneno kufamu na kujua mara nyingi tunayatumia kimakosa japo nia ni njema...naye anakupenda ..hongera kwa kufunguka ikiwezekana pambana unaweza ku.....
mtaandamana humu ndani na kupigwa marufuku kutumia neno miss...Aisee nikajua ni ww mkuu! Hebu pachika picha yako hata siku moja tukufahamu.
mkuu anataka wajuaneUsijali atakufata huko PM ili mfahamiane zaidi.
Hahahahahaha. Unamaanisha we ni kabibi? Naomba ufafanuzimtaandamana humu ndani na kupigwa marufuku kutumia neno miss...
ameyapenda maneno yako ndo maana ameyarudia yakae mu kichwaSASA KWANI MIE NIMESEMAJE AU WEWE NDO WATAKA KUSEMA YOUPOJE HAHAHAHA
Usione aibu Mkuu, mbona kawaida sana.naona wameamua kuniweka hadharani naona aibu
rubii nawe njoo huku nakusaka alaaAiseee mpe hela basi
rubii nawe njoo huku nakusaka alaa
anzisha uzi mkuuSijui tutampenda wangapi?? Mi pia nampenda miss chagga
Miss chagga unaongoza kwa kupendwa asee hongera sana.mi mwenyewe nimetoka kuvutiwa nawe licha ya kwamba sikufahamu.we mtoto unaonekana mrembo kwelikweli ngoja tuendelee kuvizia vizia.naona wameamua kuniweka hadharani naona aibu