LOVE is always blind!!!!!unapopenda angalia moyo wako,wazazi ni kuwashirikisha tu,kimsingi hawa haki na uwezo wa kumzuia mtu moyo wake ulipodondokea!!!!!!!!!!!!Just carry on with your lover,mwambie hivyo
Awashtaki kama ni kanisania ma amsikitini hao wazazi kwa unyanyapaa wao; inge kuwa kinyume chake hao wazazi wangefanyaje............mizee mingine bana.....bure kabisa