monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Huyu bila shaka ni Scot Addkins au Garry DanielKuliko huyu[emoji116][emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Movies zake ni nzur sana,lakin syo za kuangalia na mama mkwe!Transporter movie series
The bank job
The Italian job
Fast and furious
The expandables
Crank
Spy
Wild Card.
Jamaa anajua sana
Sawa!Hakuna actor anayeitwa James Bond bali hilo ni jina la kubuni tu na waigizaji kadhaa wameshiriki kuuvaa uhusika wa huyo James Bond.
Kwa uchache ninaowakumbuka ni hawa wafuatao...
Sean Connery,Roger Moore,George Lazenby,Timothy Dalton,Pierce Brosnan na Daniel Craig.
Mimi kati ya hao ninamkubali sana mzee Sean Connery na Pierce Brosnan...
Sasa na wewe cheki tena hizo muvi ili ujue ni "James Bond" yupi ndio chaguo lako mkuu.
Scott AdkinsHuyu bila shaka ni Scot Addkins au Garry Daniel
mi kwa ROMAN REIGN Huniambii kitu.
Mapunga ya kule ni mapunga fresh yanakula huku yanaliwaWeeeee ana mke na ana ujauzito sasaa
Kwamba ni ulemavu wa nywele nn? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kivipi wakati ualaza ni ulemavu tu.
Kiuhaliisa nalipenda jina na nilimuita mtoto jina hilo kwa sababu ya maana yake pamoja na mapnzi niliyonayo kwa huyo mcheza movie, ila main point hapa ni maana ya jinaUnapenda jina la Jason hivyo ukampa mtoto wako au ulimpa kwasababu ya mapenzi yako kwa Statham?