Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Kuliko huyu[emoji116]
7c2df7b96bae53c358f0129d19c7f3d3.jpg
[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Huyu bila shaka ni Scot Addkins au Garry Daniel
 
Hakuna actor anayeitwa James Bond bali hilo ni jina la kubuni tu na waigizaji kadhaa wameshiriki kuuvaa uhusika wa huyo James Bond.
Kwa uchache ninaowakumbuka ni hawa wafuatao...
Sean Connery,Roger Moore,George Lazenby,Timothy Dalton,Pierce Brosnan na Daniel Craig.
Mimi kati ya hao ninamkubali sana mzee Sean Connery na Pierce Brosnan...
Sasa na wewe cheki tena hizo muvi ili ujue ni "James Bond" yupi ndio chaguo lako mkuu.
Sawa!
 
Huyu jamaa hata akiigizashoga demu nacheki movie ful midad
 
Nyie semeni mnapenda jamaa anavyowakula wadada kwenye movie zake
Acheni kutuzuga.
 
Unakumbuka platnumz amecheza movie ya waka waka akamshirikisha adui kuu rick Ross, [emoji23] [emoji1] [emoji119]
 
Unapenda jina la Jason hivyo ukampa mtoto wako au ulimpa kwasababu ya mapenzi yako kwa Statham?
Kiuhaliisa nalipenda jina na nilimuita mtoto jina hilo kwa sababu ya maana yake pamoja na mapnzi niliyonayo kwa huyo mcheza movie, ila main point hapa ni maana ya jina
 
Back
Top Bottom