Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Kiuhaliisa nalipenda jina na nilimuita mtoto jina hilo kwa sababu ya maana yake pamoja na mapnzi niliyonayo kwa huyo mcheza movie, ila main point hapa ni maana ya jina
Maana ya Jason ni nini?
 
Nampenda pia ni mmoja kati ya waigizaji ninaowakubali sana, Very Smart!
 
Back
Top Bottom