Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Namuelewa Sana kwenye mafundisho yake ni mwalimu mzuri Sana kwenye imani Mungu ambarikiAmina
Huu uzi mtamuhahahaha kwakweli
HaleluyaYesu wake ni kijana
Aiseee kumbe kwenye Mambo ya msingi huwaga mtulivu hivi hahahahah.. Vizuri sana mkuuUkimtumikia Mungu katika kweli na haki huwez kuaibika
Sasa Kuna kenge zinaenda kanisan na hangover asubuh bado zinataka muujiza