Wakristo wakitulia na kujifunza kuhusu Imani yao, kamwe hawata kimbilia miujiza, sijui magari, utajiri na mengine kibao..coz everything they chase are kept in the package of how well they have been grounded in the knowledge of their Leader, Jesus Christ. And this is what makes Mwl Mwakasege exceptional. Anakufundisha, unaelewa, unajua wapi unakoea na sio kwenda kununua sijui maji mara mafuta.
Bible iko clear, watu wa Mungu 'wanaangamizwa' kwa kukosa maarifa, so some folks who call themselves sijui Prophets use this lack of knowledge to their advantage. Tukae chini tujifunze, all we need are in one package of knowledge which come as a result of being well taught na kuitumia positively knowledge uliyopata.
I really appreciate Mwl Christopher Mwasege amekua Baraka sana kwenye maisha yangu. God bless him sana.