Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

Karibu mana ministry,najivunia kuwa sehemy ya huduma ya mana/mtenda kazi katika huduma yake najivunia kupitia huduma yake nimekua kiimani,na naendelea kukua katika jina la Yesu!
 
Kumbe kuna watu wengi waliobarikiwa na huduma ya Mwakasege? Sasa mbona kuna watu wanaomtukana na kumkejeli mitandaoni kwa kumwita majina yasiyo na staha? Ama kweli mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Mungu aendelee kumtia nguvu mtumishi Wake, Mwl C. Mwakasege. Hata mimi nimebarikiwa sana na huduma yake.
 
Washindwe Kwa jina la Yesu
 
Kuumbwa na Mungu kwa kusudi maalum ni jambo Moja na kuliishi hilo kusudi ni jambo jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…