Nampenda Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege.

Mwakasege alikuwa na safari mbili zilizogongana ya kwanza alialikwa kilombero na ya pili alialikwa UN New York.Alikuwa njia panda akalifikisha jambo hilo kwa Mungu na kuuliza wapi aende,Mungu alimjibu aende Kilombero
 
Karibu mana ministry,najivunia kuwa sehemy ya huduma ya mana/mtenda kazi katika huduma yake najivunia kupitia huduma yake nimekua kiimani,na naendelea kukua katika jina la Yesu!
Hongera!

Uko wapi? Ni mwanakamati wa kudumu au ni mhudumu nyakati za semina?

But all in all, hongera kwa kuamua kumtumikia Mungu.
 
✅🙏
 
Mmmh! Mie sina neno na huyu ila tatizo langu ni hyo asili yake karibu wachungaji wote maarufu wa Dar wana asili ya Mbeya

Mwakasege mbeya
Lusekelo mbeya
Mwaiposye mbeya
Mwanani nani sijui mbeya!
Watumishi wa kutoka Mbeya wote wezi tu wanatumia ndumba nangai
 
Mmmh! Mie sina neno na huyu ila tatizo langu ni hyo asili yake karibu wachungaji wote maarufu wa Dar wana asili ya Mbeya

Mwakasege mbeya
Lusekelo mbeya
Mwaiposye mbeya
Mwanani nani sijui mbeya!
Nuru itakuwa ilianzia huko halafu ndiyo ikasmabaa kuelekea sehemu zingine.

"Inabidi pale kwenye almasi, pafanane fanane na almasi". Mzee Mapesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…