Nampenda Mumu

Mimi nampenda dada mmoja humu anaitwa Demi, siku aliyofiwa na baba yake ndio siku nliyogundua nampenda maana zilipoletwa taarifa humu nlipatwa na majonzi yalipotokea siyajui. By the way, sina tamaa wala hope ya hata kukutana nae siku moja ndio maana hata PM sijamfuata nimeamua tu nipotezee
 
Mimi nawapenda mdada mmoja anaitwa yna4 na mwingine anaitwa bbade, yani nikionaga posts zao tu nakuaga kama chizi
 
Mimi nampenda luckyline, swaga zake za mamtoni.
 
Tafadhali mpokee mateka wako mumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…