Nampenda Mumu

Nampenda Mumu

Hakuna kitu kibaya kama unamfata dem unamwambia unampenda alaf ye anakujibu "waaooh jaman asant sana na mm nakupenda mkaka mzuri" yan bora akukatae mazima kuliko akukubali bila kukusumbua
 
Hakuna kitu kibaya kama unamfata dem unamwambia unampenda alaf ye anakujibu "waaooh jaman asant sana na mm nakupenda mkaka mzuri" yan bora akukatae mazima kuliko akukubali bila kukusumbua

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalau hata uulize umenipendea nn? Sasa ukikubaliwa kirahis unashindwa kuelewa ni kweli kanikubali au anaona ni utani
binadamu wote tunatakiwa kupendana ndo maana unakuta unajibiwa hivyo 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom