Ahaah kumbeSijakubali wifi,. Am already occupied[emoji28][emoji28]and you know'dat wiwo...
AiseeHahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni balaaa shem babeAisee
[emoji20][emoji20]πππ
babe shem vipi tena[emoji20][emoji20]
we mshkaj ushmen una roho mbya kupita shwetanNimekwisha na UKIMWI
Samahani mleta mada...
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nimekosea wapi tena mkuu...[emoji15] [emoji15]we mshkaj ushmen una roho mbya kupita shwetan
unampita shwetan sio shetan ... shwetan ni jina la mdg wnguNimekosea wapi tena mkuu...[emoji15] [emoji15]
Alafu kama nampita saitan kwa roho mbaya, mbona bado sinapumua...[emoji53] [emoji53]
Basi niambie penye nimekukisea mkuu... Maana hapa nataka nikuombe radhi kwa dhati kabisa....unampita shwetan sio shetan ... shwetan ni jina la mdg wngu
asubuh njm mkuuBasi niambie penye nimekukisea mkuu... Maana hapa nataka nikuombe radhi kwa dhati kabisa....
Unaogopa kuja na I'd yako ya zamanMnooo
Kuhusu i'd Demiss ndio hii hapa kwakweli
Agghhh mwanangu sometimes inabidi upotezee baadhi ya mambo kwenye maisha. I will just live with itJikaze kiume umtokee
Hakuna kitu kibaya kama unamfata dem unamwambia unampenda alaf ye anakujibu "waaooh jaman asant sana na mm nakupenda mkaka mzuri" yan bora akukatae mazima kuliko akukubali bila kukusumbua
Angalau hata uulize umenipendea nn? Sasa ukikubaliwa kirahis unashindwa kuelewa ni kweli kanikubali au anaona ni utani[emoji23][emoji23][emoji23]
binadamu wote tunatakiwa kupendana ndo maana unakuta unajibiwa hivyo πππππAngalau hata uulize umenipendea nn? Sasa ukikubaliwa kirahis unashindwa kuelewa ni kweli kanikubali au anaona ni utani