Nampenda Mumu

Nampenda Mumu

I swear y'all people spend your bundles in child's play....how do I start a thread like this tho
 
Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
Ongera kwa kufunguka mkuu ila umesahahau vipengele muhimu. Unampendaje sasa? Kama rafiki au mpenzi.

Napita tu
 
Back
Top Bottom