Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Yamooooooo
yaliyo yamo??? inama inama,, kwangwaru[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaliyo yamo??? inama inama,, kwangwaru[emoji23]
Atakuwa bado anafikiria kama kawaida yenu mnaombaga mda mfikirie kwanza sijui mnakuwa mnafikiriaga vitu gani
Duuuh,.pambe tyuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Oooyyyyyoooo wapi mama LA mama V.I.P[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ataleta majibu tu subirini kidogo, saivi anaomba ufunuo wa mwongozo kutoka Roho Mtakatifu
Hahahahaa... Uwiii[emoji23]We ushamuona live?
Haha leo niambie ndugu huwa mnakuwa mnafikiria vitu gani?Tunafikiria mengi ujue
Hahahahaa mbavu zangu jomonii[emoji23][emoji23][emoji23]Mumu anaonekana ni kisu cha hatari jamaa kachizika kabisa hadi kaanzisha uzi
Inawezekana kabisa alafu anaonekana ni mtoto wa mchungajihuenda anafanana na OMOTOLA
Tupe wasifu wake kidogo tuMpaka naongea hivyo ujue najuana nae
kwa hiyo jamaa amepata au amepatwaInawezekana kabisa alafu anaonekana ni mtoto wa mchungaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji91][emoji91][emoji91]huyu mtoa uzi huenda anamiliki BMW, mana mtoto huyu sio wa kupanda bajaj
Jesooossss chineke'mee oga oga stop nah"[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]huenda anafanana na OMOTOLA
Shoga lazima upate hata verossa sio kwa pambe hii kuntuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu uko
watoto kama hawa ili umfaidi vizuri inabidi uwe salio kwenye acc, shopping za hapa na pale, mara znz mara dubai mara hong kong
Haha leo niambie ndugu huwa mnakuwa mnafikiria vitu gani?
Shenzzyy taipp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi unajua huna akili nyau wwKaka we unajua mana ya mwanamke hapo kuweka salio kwenye acc ndio kumenikosha