Wewe bado boys wanakufaa wewe.
Hivi Sugu ni bad boy?
mi napenda mwanaume mstaarab
napenda mwanaume mpole asiyekunywa pombe
i acknowledge a receipt of your submission, i hereby render my observations/ comments:-
1- kama sijakosea hii mada ni kwa wanawake tuu
2-Sie wanaume hatuna haki yoyote kimsingi kuchangia juu ya hayo uloyasikia kijiweni ukisubiria umeme urudi
3- wamiliki wa forum hii wanatakiwa kuanzisha vyumba maalumu vya kujadilia hoja za jinsia mbalimbali ili siku ingine isitokee mada kama hii inayohitaji kuchangiwa na jinsia "mke" ikatufanya watu wa jinsia "mme" kujiingiza humo
4- huwa unakaa vijiwe vya wanawake au huwa unapiga-chabo maongezi ya kina-mama na uloyatoa hapa ni ushahidi tosha kuwa nawe ni mwanamke
5- huelewi "unatakiwa kuwa aina gani ya mwanaume-proper mpaka upate mtazamo wa wanawake wanavyo-define a proper man" hii ki-saikolojia unaonekana kama unahitaji kumwona mshauri.
6- nashawishika kuamini kuwa "huna kifua" cha kuweka mambo unayosikia na kuyatafakari kwa kina mpaka uyalete hapa... sio kila hear-says zinatakiwa ku-go public
HAYA NILIYOYATOA HAPO JUU NI MAONI NA MTAZAMO WANGU BINAFSI JINSI NILIVYOIONA HII MADA...NOTHING PERSONAL OR INTENTIONAL OFFENSE TO MTOA MADA NA WENGINEO.
unaye au ndio unatafuta?utatafuta mpaka uzeekenapenda mwanaume mpole asiyekunywa pombe
ushindwe na ulegeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHapa una maana gani? Naambiwa maana ya mstaarabu ni yule anayefanana na tabia za waarabu. Hebu tujuze kidogo basi.
wapenwa,
napenda sana mwanume mcha Mungu!
1. anayejua na ku-appreciate utu na ubinadamu wake na wa wengine,
2. anayejua na kuappreciate jumuiya takatifu ya familia
3. anayejitoa kwa ajili ya familia yake kama vile Kristo alyojitoa kwa ajili ya kanisa! na
4. afanyae kila kitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu hata kama ni "kumchapa mtu makofi" achape makofi kwa ajili yaukufu wa Mungu!
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God!
i acknowledge a receipt of your submission, i hereby render my observations/ comments:-
1- kama sijakosea hii mada ni kwa wanawake tuu
2-sie wanaume hatuna haki yoyote kimsingi kuchangia juu ya hayo uloyasikia kijiweni ukisubiria umeme urudi
3- wamiliki wa forum hii wanatakiwa kuanzisha vyumba maalumu vya kujadilia hoja za jinsia mbalimbali ili siku ingine isitokee mada kama hii inayohitaji kuchangiwa na jinsia "mke" ikatufanya watu wa jinsia "mme" kujiingiza humo
4- huwa unakaa vijiwe vya wanawake au huwa unapiga-chabo maongezi ya kina-mama na uloyatoa hapa ni ushahidi tosha kuwa nawe ni mwanamke
5- huelewi "unatakiwa kuwa aina gani ya mwanaume-proper mpaka upate mtazamo wa wanawake wanavyo-define a proper man" hii ki-saikolojia unaonekana kama unahitaji kumwona mshauri.
6- nashawishika kuamini kuwa "huna kifua" cha kuweka mambo unayosikia na kuyatafakari kwa kina mpaka uyalete hapa... Sio kila hear-says zinatakiwa ku-go public
haya niliyoyatoa hapo juu ni maoni na mtazamo wangu binafsi jinsi nilivyoiona hii mada...nothing personal or intentional offense to mtoa mada na wengineo.
ushindwe na ulegeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nimependa mchango wako Miss Judith. Tuweke Mungu mbele katika matendo yetu. Lakini hilo la "Kuchapa mtu makofi" kwa ajili ya utukufu wa Mungu....ninaheshimu mawazo lakini sikubaliani nalo. Hofu yangu ni pale "wanyanasaji by nature watapokuwa wanatumia kivuli cha Mungu kunyanyasa na pengine hata kuua kwa jina la Mungu.wapenwa,
napenda sana mwanume mcha Mungu!
1. anayejua na ku-appreciate utu na ubinadamu wake na wa wengine,
2. anayejua na kuappreciate jumuiya takatifu ya familia
3. anayejitoa kwa ajili ya familia yake kama vile Kristo alyojitoa kwa ajili ya kanisa! na
4. afanyae kila kitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu hata kama ni "kumchapa mtu makofi" achape makofi kwa ajili yaukufu wa Mungu!
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God!
Dadiito wako mpole?
Halafu kila nikiona avatar yako namkumbka Vivica A. Fox aka Auntie Viv.
MISSING U!!!!!!!!!wa ALIYAHKuna siku tuliliongelea hili sana...asilimia kubwa ya wadada walisema wanependa wanaume ambao sio wapole kupitiliza....
Nimependa mchango wako Miss Judith. Tuweke Mungu mbele katika matendo yetu. Lakini hilo la "Kuchapa mtu makofi" kwa ajili ya utukufu wa Mungu....ninaheshimu mawazo lakini sikubaliani nalo. Hofu yangu ni pale "wanyanasaji by nature watapokuwa wanatumia kivuli cha Mungu kunyanyasa na pengine hata kuua kwa jina la Mungu.