BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
mwanaume yeyote tutayeendena nae tabia, asiwe mkali sana wala mpole sana, aniheshimu, anijal, anipende mimi kama nilivyo,awe rijali na aniridhishe kunako sita kwa sita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br /> <br / hahahaa na kudeki je?Mkorofi lakini ajue kuosha vyombo..
Karibu sana mkuunimeipenda hii
Kuna siku tuliliongelea hili sana...asilimia kubwa ya wadada walisema wanependa wanaume ambao sio wapole kupitiliza....
Sitegemei mwanaume awe mpolee muda wote mahali popote na kwa jambo lolote..Hell No!!! Sorry
....Mpigieni makofiiiiiiiii, kwa kwa kwa ! hongera kwa kwa kwa blackberry.....mwanaume yeyote tutayeendena nae tabia, asiwe mkali sana wala mpole sana, aniheshimu, anijal, anipende mimi kama nilivyo,awe rijali na aniridhishe kunako sita kwa sita
<br />mwanaume yeyote tutayeendena nae tabia, asiwe mkali sana wala mpole sana, aniheshimu, anijal, anipende mimi kama nilivyo,awe rijali na aniridhishe kunako sita kwa sita