Nampenda sana dida wa TImes fm

Ntiliabhose

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
78
Reaction score
38
Jaman huyu anayejiita kichuna wa times kiukweli ananikosha ile mbaya haswaa katika utangazaji wake Yaani anaflow na spidi ya ajabu katika kuongea, na sijui nimfananishe na mtangazaji gani wa kike,najua atakuwa anamapungufu yake yanayoonekana bt hayanihusuuu.kizuri kisifiwe.
 
Umemaliza au utaendelea?maana umesema unampenda lakini bado sijaona sentesi ya madhumuni ya kumpenda.
 
inabidi uupende hadi mkorogo wake anaojichuna
 
Jaman mie ata angekuwa anafanana na nyani haihusuu mie nadata na anavyotangaza na mbwembwe zake akiwa kwa hewa. Mkorogo cjui au maisha yake ya uraian hayanihusu
 
huyu dada anajua kutangaza sana.

Watz hatupendani, kizuri kisifiwe ...khaa mtu amesifiwa kwa namna anavyofanya kazi yake ila watu wanatafuta sababu za kumshusha mdada wa watu....basi na sura zenu muweke hapa tuone zilivyo parama......
 
Naona mmeamua kujipa promo wenyewe, ili mjue strength na weaknes zenu!
 
Hii thread hainihusu sana maana sio shabiki wa Taarabu so hata huyo Dida huwa sifatilii vipindi vyake ila namuonaga tu kwenye magazeti na mitandao kama hivi;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…