my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua model. ila nampenda sana hamisa mkimuona mwambieni kama nampendaaa. Nataka nifungue fan page niwe na post picha zake kwa ninavompenda.
Upo Dar hapa hapa tuonane nkusaidie kukuunganisha naeMimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua model. ila nampenda sana hamisa mkimuona mwambieni kama nampendaaa. Nataka nifungue fan page niwe na post picha zake kwa ninavompenda.
Mobetto ni zaidi ya sanchi safi sana umependa kizuriMimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua model. ila nampenda sana hamisa mkimuona mwambieni kama nampendaaa. Nataka nifungue fan page niwe na post picha zake kwa ninavompenda.
[emoji106]mabeto n mzur
unastahil kumpenda
Ohooooo!!!Ndo kusema unapenda kuzaa zaa hovyo nje ya ndoa si ndio?
[emoji106]Mobetto ni zaidi ya sanchi safi sana umependa kizuri