my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mimi sifatilii sana celebrities wa tz lakn nampenda sana hamisa mobetto napenda physical appearance yake. natamani siku moja nije kua km yeye niwe model lakin wazaz wangu hawakubaliani na mimi kua model. ila nampenda sana hamisa mkimuona mwambieni kama nampendaaa. Nataka nifungue fan page niwe na post picha zake kwa ninavompenda.