Nampenda sana huyu binti kwa kweli

Nampenda sana huyu binti kwa kweli

Hivi umemwomba uweke picha yake humu?

MJ hii picha atakuwa ameipata kwa kina shigongo au ukigoogle unazipata baadhi ya picha zake Naona
Jojipoji hana kosa ...kama tunavyokopy za kina JLo ,KobyB na wengineo ndo mastaa wetu wa bongo hawa
 
MJ hii picha atakuwa ameipata kwa kina shigongo au ukigoogle unazipata baadhi ya picha zake Naona
Jojipoji hana kosa ...kama tunavyokopy za kina JLo ,KobyB na wengineo ndo mastaa wetu wa bongo hawa
na yeye amemuomba Beyonce atumie picha yake?
 
Ashadii ... scandal zake sio very minimal ila ziko "very hidden" .... fuatilia sakata lake na "mchunga kondoo wa bwana" fulani hv aliyewahi kuhudumu pale mikocheni ... hata huyo HT anakula na wenziwe ... sema binti ni mjanja ... analiwa na watu wasio na mapepe ... hii imemsaidia sana kutoku-raise attention ya wadaku wa shigongo ... sasa hapo kwa HT sijui imekuwaje ...
Duh! watu wana data, hiyo scandal hata miye mama paroko nishaipata hadi jina la mchunga kondoo, c unajua nipo karibu na hawa mabwana. Chezea Jokate!
 
View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.

Ni PM kama unamtaka kweli nikuunganishe, maana ni juzi tuu alinistua kwamba yupo so lonli kwasasa, alipoomba kampani yangu nilimpiga chini maana sivutiwi naye fizikale tehetehe.
 
Ni PM kama unamtaka kweli nikuunganishe, maana ni juzi tuu alinistua kwamba yupo so lonli kwasasa, alipoomba kampani yangu nilimpiga chini maana sivutiwi naye fizikale tehetehe.

mmmh na wewe ..........
 
kama unataka kumvizia akiwepo hapa Dar, anasali na kuimba kwaya kanisa la St Peters, Oysterbay, English mass, we tinga maeneo hayo Jumapili utamuona.
 
kama unataka kumvizia akiwepo hapa Dar, anasali na kuimba kwaya kanisa la St Peters, Oysterbay, English mass, we tinga maeneo hayo Jumapili utamuona.
Angalau wewe umemsaidia kiasi furani ashindwe mwenyewe...wengi wanaponda tu tofauti na ombi la mleta mada...
 
View attachment 32130Wadau salam,Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
Mkuu kaongee na Lundenga vizuri, humu umekosea. She was my class when we were at Udsm, 2007-2010. Umechelewa ningekua kipemba! Hahahahaaa! Hebu Cheki na Wema sepetu kaka, so easy!
 
we kweli unamjua huyu binti,zamani nilikua nahisi ni kakicheche fulani lakini to be honest hata kama sio perfect lakini huyu binti yuko very focused na maisha halafu class kichwa kwelikweli waliosoma nae watakwambia yuko fit.halafu anajua kwenda front for anything,she think BIG ila mwanangu ujiandae kuongea kienglish kwa kwenda mbele maana alizaliwa USA huyu na family haiko haba kivile so anaohng nao wengi ni wale you know whats up wenzake.hana makundiya ajabuajaabu but huwa anajtokea kila matukio muhimu na what i like most about her anaimba kwaya kanisani mengine sijui lakini ni demu wa hashim thabeet sasa mwanangu jipambanishe hapo na hasheem au ukiweza ingia front kamsomeshe sera ila im sure utatooleawa nje
Mawazo yangu..
  • Ni mtu akipewa kazi yuko reliable.. and committed
  • Tokana na position yake scandal zake very minimal
  • Ana swagger za kizungu saana tu but dharau sio kivele
  • She is strong, alipata scandal ya ngono (ze utamu) but haikumteteresha physically
  • Hana mashauzi (wakati yupo UDSM) alikua anaishi maisha ya kawaida,
clothing decent and too ordinary nafikiri alikua anapunguza attention juu yake


INAWEZEKANA niko biased, for I do adore her... Hongera zake dogo
 
Rose una chuki binafsi na Jokate nini?au ndo yaleyale wanawake hampendani?hayuko kihivyo kama unavyomshupalia,i know her kiasi fulani,been neighbours.
kweli umelogwa...km vile mtu anarogwa awe mchafu,chapombe,mwehu basio na wewe kumpenda uyu kweli umerogwaaaaaaaaaaaaaaa....

mi nampenda mzuri sana kwa nje...lakin si kwa matumizi ya nyumban.
 
Back
Top Bottom