FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Hivi umemwomba uweke picha yake humu?
na yeye amemuomba Beyonce atumie picha yake?MJ hii picha atakuwa ameipata kwa kina shigongo au ukigoogle unazipata baadhi ya picha zake Naona
Jojipoji hana kosa ...kama tunavyokopy za kina JLo ,KobyB na wengineo ndo mastaa wetu wa bongo hawa
Duh! watu wana data, hiyo scandal hata miye mama paroko nishaipata hadi jina la mchunga kondoo, c unajua nipo karibu na hawa mabwana. Chezea Jokate!Ashadii ... scandal zake sio very minimal ila ziko "very hidden" .... fuatilia sakata lake na "mchunga kondoo wa bwana" fulani hv aliyewahi kuhudumu pale mikocheni ... hata huyo HT anakula na wenziwe ... sema binti ni mjanja ... analiwa na watu wasio na mapepe ... hii imemsaidia sana kutoku-raise attention ya wadaku wa shigongo ... sasa hapo kwa HT sijui imekuwaje ...
View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
Ni PM kama unamtaka kweli nikuunganishe, maana ni juzi tuu alinistua kwamba yupo so lonli kwasasa, alipoomba kampani yangu nilimpiga chini maana sivutiwi naye fizikale tehetehe.
Angalau wewe umemsaidia kiasi furani ashindwe mwenyewe...wengi wanaponda tu tofauti na ombi la mleta mada...kama unataka kumvizia akiwepo hapa Dar, anasali na kuimba kwaya kanisa la St Peters, Oysterbay, English mass, we tinga maeneo hayo Jumapili utamuona.
Mkuu kaongee na Lundenga vizuri, humu umekosea. She was my class when we were at Udsm, 2007-2010. Umechelewa ningekua kipemba! Hahahahaaa! Hebu Cheki na Wema sepetu kaka, so easy!View attachment 32130Wadau salam,Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.
Mawazo yangu..
- Ni mtu akipewa kazi yuko reliable.. and committed
- Tokana na position yake scandal zake very minimal
- Ana swagger za kizungu saana tu but dharau sio kivele
- She is strong, alipata scandal ya ngono (ze utamu) but haikumteteresha physically
- Hana mashauzi (wakati yupo UDSM) alikua anaishi maisha ya kawaida,
clothing decent and too ordinary nafikiri alikua anapunguza attention juu yake
INAWEZEKANA niko biased, for I do adore her... Hongera zake dogo
kweli umelogwa...km vile mtu anarogwa awe mchafu,chapombe,mwehu basio na wewe kumpenda uyu kweli umerogwaaaaaaaaaaaaaaa....
mi nampenda mzuri sana kwa nje...lakin si kwa matumizi ya nyumban.