Inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kwa kosa la kuvamia nafasi ya mkuu JoseverestMrembo Sky Eclat binti wa kwa mtogole come this way please!
Mwaka huu tutayashuudia mengi...Wandugu habarin jamani, kiukweli nikiona coment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni! Yaan najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwa nini!
Wewe dada kama unaishi dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah! Tundu Lisu kagoma, mi wataniweza kweli.Inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kwa kosa la kuvamia nafasi ya mkuu Joseverest
Wewe dogo huyo n shem wako, miaka 2 tangu nichukue mzigo huyo officially... kwaiyo nafunga mjadala huuWandugu habarin jamani, kiukweli nikiona coment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni! Yaan najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwa nini!
Wewe dada kama unaishi dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii inapatikana kitabu kipi? Polisi 10:28-30Inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kwa kosa la kuvamia nafasi ya mkuu Joseverest
Kipozi nakutaka!