Nampenda sana huyu dada Sky Eclat

Mkuu huyo ukiwa naye nadhani hutaboreka kwa stori. Maana mda wowote anaweza anza kwambia "Rafiki wa shemeji yake ameachishwa kazi mumshauri...., mara shosti yake kaolewa na jamaa ana kibamia"
Haha ila kweli Sky Eclat yupo vizuri saana kwenye stori huyu jamaa akikubaliwa atanenepa
 
Mbona mwenyewe hajitokezi hata
tusiomfahamu ,tupime kinachosemwa jamani?
 
Umejuaje mkuu?!
Fuatilia mada zake na comments zake mkuu,kuna threads zinazozungumzia mambo ya enzi za mwalimu,huwa anachangia huku akionyesha kuwa alikuwa mkubwa anajitambua.
 
Oh! Chezeya jamaa wa kwa mtogole weye! 🙂🙂

Wewe dogo huyo n shem wako, miaka 2 tangu nichukue mzigo huyo officially... kwaiyo nafunga mjadala huu

Sent from my Iphone 7 using Jamiiforums mobile app
 
Ana stories nyingi fictional, she's smart but undefined. Leo kakutana na mlokole, kesho andunje wa kichina, keshokutwa hajaolewa wala hana boyfriend, lakini mtondo mume amechelewa kurudi home hadi asubuhi.

Anaishi kwa mtogole lakini akikupigia stories za lotion, perfumes na snickers hakika haendani hata na buguruni. Stories za mashosti ndio usiseme...teh teh
Sky Eclat i'm just playing around, don't mind me.
 
Mkuu kama una kibamia pita kushoto maana ndo zake hizo kutangaza vibamia.
 
Unapenda avatar yake au?? Kama unadhani yule wa kwenye avatar ndio halisi basi pole

NB; Sky Eclat sina bifu na wewe hahaha
Joseverest umejihami kabisa unaiogopa timu roho mbaya ikikuanzia mashambulio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc shunie
 
Joseverest umejihami kabisa unaiogopa timu roho mbaya ikikuanzia mashambulio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…