Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Haha ila kweli Sky Eclat yupo vizuri saana kwenye stori huyu jamaa akikubaliwa atanenepaMkuu huyo ukiwa naye nadhani hutaboreka kwa stori. Maana mda wowote anaweza anza kwambia "Rafiki wa shemeji yake ameachishwa kazi mumshauri...., mara shosti yake kaolewa na jamaa ana kibamia"