sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Ivona Kamuntu, u always brightens my day..
Ur of the kind..
Hata kama naoga nkiskia sauti yako lazima ntoke na mapovu!
Ivona Kamuntu, u always brightens my day..
Ur of the kind..
Hata kama naoga nkiskia sauti yako lazima ntoke na mapovu!
Binadamu tumetofautiana sana. Huyu dada hapendezi hata kwa jiki,na hakuna vazi atalivaa limkubali. Cjui ile kufumba macho ni pozi au ni vumbi lisiingie machoni?
Mkuu, mtu ukipenda CHONGO huliita KENGEZA.Binadamu tumetofautiana sana. Huyu dada hapendezi hata kwa jiki,na hakuna vazi atalivaa limkubali. Cjui ile kufumba macho ni pozi au ni vumbi lisiingie machoni?
kafunga ndoa mwezi uliopita.
lol studio kwao kuna vumbi kwani?
Your ID tells us a lot.