Nampenda sana huyu mtangazaji wa Star TV.. Utangazaji wake, sauti na uzuri wake..

Nampenda sana huyu mtangazaji wa Star TV.. Utangazaji wake, sauti na uzuri wake..

Status
Not open for further replies.

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Ivona Kamuntu, u always brightens my day..

Ur of the kind..

Hata kama naoga nkiskia sauti yako lazima ntoke na mapovu!
 
Binadamu tumetofautiana sana. Huyu dada hapendezi hata kwa jiki,na hakuna vazi atalivaa limkubali. Cjui ile kufumba macho ni pozi au ni vumbi lisiingie machoni?
Mkuu, mtu ukipenda CHONGO huliita KENGEZA.
 
Watu mnamajungu.. We differ, since our fingers do!

Dah.. Anajua sana kutangaza..

Kama kaolewa kweli.. Ntaumia sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom