Jamani wana mmu
Naombeni ushauri wenu kwa binti huyu ambaye nampenda sana na yeye alikuwa ananipenda sana ila saiz tumegombana kama wiki moja hivi.Kisa aliambiwa na rafiki yake mimi nina mpenzi mwingine na yeye ni mgeni mtaani,kwa hiyo toka alivyosikia hivyo na alikuwa ananipenda sana tumekaliana kimya kwa wiki sasa na juzi nilijaribu kuongea nae lakini hakunielewa hata kidogo nikajaribu kumuambia tuachane na nikamrudishia picha yake.Lakini saizi moyo unaniuma sana kuchana nae na kiukweli mpenzi mwingine sina na nina mawazo muda wote,naombeni msaada wenu
etiiiiii!!!!! ukamrudishia na picha? hivi kumbe bado watu tunapeana picha mmmh hapa mawili either mi mshamba au huyo mpenzi hanipendi hata picha yake hajanipa!
haya endelea tu kuongea nae atakuelewa
Basi n kweli unaye,mna pengine huyo rafiki yake anajua ndio maana unasisitiza kaambiwa na rafiki yakeyeye alinambia wamemwambia watu wengine si rafiki yake,ila najua kamwambia rafiki ake tu
Basi n kweli unaye,mna pengine huyo rafiki yake anajua ndio maana unasisitiza kaambiwa na rafiki yake
Jamani wana mmu
Naombeni ushauri wenu kwa binti huyu ambaye nampenda sana na yeye alikuwa ananipenda sana ila saiz tumegombana kama wiki moja hivi.Kisa aliambiwa na rafiki yake mimi nina mpenzi mwingine na yeye ni mgeni mtaani,kwa hiyo toka alivyosikia hivyo na alikuwa ananipenda sana tumekaliana kimya kwa wiki sasa na juzi nilijaribu kuongea nae lakini hakunielewa hata kidogo nikajaribu kumuambia tuachane na nikamrudishia picha yake.Lakini saizi moyo unaniuma sana kuchana nae na kiukweli mpenzi mwingine sina na nina mawazo muda wote,naombeni msaada wenu
ila mawazo yananitesa
Ha ha ha, jamaa amenikumbusha mbali huyu, eti kurudisha picha daaah imekaa kinanalog hiyo...hivi yale mapenzi ya kurudishiana picha hadi leo yapo?
usijali ndugu kama ipo ipo tu, kuwa na subira hasira zimuishe ila siku nyingine ujue kwamba "Kizibo dili"