monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Jamani wana mmu
Naombeni ushauri wenu kwa binti huyu ambaye nampenda sana na yeye alikuwa ananipenda sana ila saiz tumegombana kama wiki moja hivi.Kisa aliambiwa na rafiki yake mimi nina mpenzi mwingine na yeye ni mgeni mtaani,kwa hiyo toka alivyosikia hivyo na alikuwa ananipenda sana tumekaliana kimya kwa wiki sasa na juzi nilijaribu kuongea nae lakini hakunielewa hata kidogo nikajaribu kumuambia tuachane na nikamrudishia picha yake.Lakini saizi moyo unaniuma sana kuchana nae na kiukweli mpenzi mwingine sina na nina mawazo muda wote,naombeni msaada wenu