Nampenda sana ila hanielewi

Ha ha ha, jamaa amenikumbusha mbali huyu, eti kurudisha picha daaah imekaa kinanalog hiyo...

Sent from my iPhone using JamiiForums app

c mapenzi 2 mkuu
 
mchape makofi ukionana nae tena...hope atakuelewa nn unamaanisha
 
ila mawazo yananitesa

monta;
Acha shule uhamie mlangoni kwao, ushinde pale na paketi ya dawa ya mbu kuzuia mbu wa dengu. Mapenzi hayo ungekuwa nayo usingalithubutu kumpiga kibuti. Ulitikisa naye kaamua kweli. Utakapomkuta kapakatwa utazimia buree. Ningekuwa ni weye ningehama mtaa.
 

sa ushauri gani?
 
Yani hata sijielew jamani
 
Mkuu pole sana ila siku hizi vijana mna taabu sasa wewe kulikoni kumrudishia picha zake mwenzako ilihali ulijua fika kuwa hiyo shutuma si ya kweli. Kwa ushaui tu siku nyingine usiwe mwepesi wa kutenda bali tulia kwanza akili ikiwa sawa ndipo unapoweza kufanya yenye busara na faida kwako. Wahenga walisema hasira hasara lkn ongea nae mtayamaliza tu.
 
hahahahahahahahahahaha aaaah jamani kweli nilimiss mengi khaaa you made my day buddy
 

nilijaribu kuongea nae majuzi lakini hakutaka hata kunisikiliza na alikuwa na hasira sana
 
Mawazo mawazo"
 
Ha ha ha, jamaa amenikumbusha mbali huyu, eti kurudisha picha daaah imekaa kinanalog hiyo...

Sent from my iPhone using JamiiForums app
ilikuwa kitambo hicho unarudisha picha, nyingine unachoma moto na unamdai vitu vyako vyote ulivyowahi kumpa. ha ha ha ha
 
nilijaribu kuongea nae majuzi lakini hakutaka hata kunisikiliza na alikuwa na hasira sana

kama hataki achana nae.. kwani ulizaliwa nae?? usiamini sana katika mapenzi.. kuna watu wanapenda kucheza na hisia za wenzao. maisha yanaendelea..
 

hahahahah!kama unampenda kweli ukimrudishia picha yake wewe baki na nega..teh teh ukimkumbuka unaenda kuisafisha,(hivi mpaka leo mapicha ya nega bado yapo kweli)
 
mchape makofi ukionana nae tena...hope atakuelewa nn unamaanisha

Kuna watu hawajawahi kuona wazaz wao wakigombana leo unamshaur mwenzio achape mtoto wa watu makofi wa wapi ww
 



dah hv zile za kuweka picha chini ya mto bado zipogo? dah
 

Bikra yke je!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…