Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila mawazo yananitesa
ila mawazo yananitesa
monta;
Acha shule uhamie mlangoni kwao, ushinde pale na paketi ya dawa ya mbu kuzuia mbu wa dengu. Mapenzi hayo ungekuwa nayo usingalithubutu kumpiga kibuti. Ulitikisa naye kaamua kweli. Utakapomkuta kapakatwa utazimia buree. Ningekuwa ni weye ningehama mtaa.
hahahahahahahahahahaha aaaah jamani kweli nilimiss mengi khaaa you made my day buddymonta;
Acha shule uhamie mlangoni kwao, ushinde pale na paketi ya dawa ya mbu kuzuia mbu wa dengu. Mapenzi hayo ungekuwa nayo usingalithubutu kumpiga kibuti. Ulitikisa naye kaamua kweli. Utakapomkuta kapakatwa utazimia buree. Ningekuwa ni weye ningehama mtaa.
Mkuu pole sana ila siku hizi vijana mna taabu sasa wewe kulikoni kumrudishia picha zake mwenzako ilihali ulijua fika kuwa hiyo shutuma si ya kweli. Kwa ushaui tu siku nyingine usiwe mwepesi wa kutenda bali tulia kwanza akili ikiwa sawa ndipo unapoweza kufanya yenye busara na faida kwako. Wahenga walisema hasira hasara lkn ongea nae mtayamaliza tu.
kunywa viroba hasa nywagi vinaondoa mawazo au mlete hapa hapa jukwaani tukuombee msamaha
ilikuwa kitambo hicho unarudisha picha, nyingine unachoma moto na unamdai vitu vyako vyote ulivyowahi kumpa. ha ha ha haHa ha ha, jamaa amenikumbusha mbali huyu, eti kurudisha picha daaah imekaa kinanalog hiyo...
Sent from my iPhone using JamiiForums app
nilijaribu kuongea nae majuzi lakini hakutaka hata kunisikiliza na alikuwa na hasira sana
Jamani wana mmu
Naombeni ushauri wenu kwa binti huyu ambaye nampenda sana na yeye alikuwa ananipenda sana ila saiz tumegombana kama wiki moja hivi.Kisa aliambiwa na rafiki yake mimi nina mpenzi mwingine na yeye ni mgeni mtaani,kwa hiyo toka alivyosikia hivyo na alikuwa ananipenda sana tumekaliana kimya kwa wiki sasa na juzi nilijaribu kuongea nae lakini hakunielewa hata kidogo nikajaribu kumuambia tuachane na nikamrudishia picha yake.Lakini saizi moyo unaniuma sana kuchana nae na kiukweli mpenzi mwingine sina na nina mawazo muda wote,naombeni msaada wenu
mchape makofi ukionana nae tena...hope atakuelewa nn unamaanisha

kula na kilala bure huleta mawazo ya ajabu ajabu tu.