Nampenda sana......ila nimsaidieje?.

SOGGA MTOTO

Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
16
Reaction score
0
jaman nahtaji mawazo yenu nifanyeje...nilibahatka kuwa na girl friend nkampenda tena sana kumbe mwenzangu ana ttzo la maumbile yaan sehem zake za siri hazna penetration hole....mwanzoni nilzan labda ni bikira kumbe n ttzo{pameziba automatically}....nilipomdadisi sana akadai kazaliwa hvyo na hajui la kufanya ila binafsi nampenda sana kama kuna tiba,ushauri ama mawazo yenu nisaidieni nmsaidie mpenz wangu aifurahie dunia.
 
Cheki na madaktari mabingwa wa magonjwa ya wanawake unaweza kupata msaada
 
Hili tatizo wanalishughulikia madaktari bingwa wa upasuaji, fanya taratibu za kuweza kwenda kuwaona na watamsaidia huyo mpenzi wako.
 
Naungana na waliotoa maoni hapa juu

"Hili tatizo wanalishughulikia madaktari bingwa wa upasuaji, fanya taratibu za kuweza kwenda kuwaona na watamsaidia huyo mpenzi wako"
 

Mkuu naomba nikuulize kitu kimoja, huyo mwanadada haendi hedhi?
Kama jibu ni ndio basi atakua ana zaidi ya hilo tatizo uliloliainisha, ambalo nadhani sababu yake ni kufunga kwa ngozi ya bikira tangu akiwa mtoto au kabla hata hajazaliwa.
Muhimu ni kuwaona wataalamu wa upasuaji
 
Tafuta Gyno, pale mhimbili wapo. Prof Mgaya.
 
anahitaji operation. njia inapasuliwa , kuna girl alikuwa kama hivo so alipotaka kuolewa akafanyiwa operation.. mita ya ulaya uko. so sijui km bongo hizo operation zinafanyka,
 
"hedh Anaenda vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…