SOGGA MTOTO
Member
- Dec 1, 2011
- 16
- 0
jaman nahtaji mawazo yenu nifanyeje...nilibahatka kuwa na girl friend nkampenda tena sana kumbe mwenzangu ana ttzo la maumbile yaan sehem zake za siri hazna penetration hole....mwanzoni nilzan labda ni bikira kumbe n ttzo{pameziba automatically}....nilipomdadisi sana akadai kazaliwa hvyo na hajui la kufanya ila binafsi nampenda sana kama kuna tiba,ushauri ama mawazo yenu nisaidieni nmsaidie mpenz wangu aifurahie dunia.