Nampenda sana Jack Wolper

Nampenda sana Jack Wolper

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Jamani wapendwa poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba mawasiliano ya huyu dada kwa yeyote aliyenayo.
 
0713 800800

Try ur lucky men

Unanikumbusha kuna kipindi niliwazingua natafuta illegal job, nadhan unakumbuka binadamu, basi bila hiyana kijan mmoja kajitolea buree kuniunganisha nifanye hizo dili haramu, na namba akanipa ya huyo na maelezo matamu kweli yenye matumaini, kuja kuangalia vizuri kumbe ile namba ilikuwa ni ya polisi , bahat nzuri uwa nahifadhi namba za dharula kama break down, police nk..dah nilicheka nusu mbavu zivunjike yaan jamaa alitaka kunichoma live police, uwa nacheka sana nikikumbuka, humu aisee kuna watu hamnazo
 
Back
Top Bottom