Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi kama mwamaume ,je hii ndo style ya Lawyers wote ?ama ni tabia yake tu.[/QUOT
Nafasi gani ya kiuwanaume unayotaka? kwani anakugeuza mwanamke?
kwani unataka kummiliki nini? Mwanamme kua mlalamishi haipendezi, na wala kujilinganisha na mwanamke na kushindana na mwanamke haipendezi. Au unataka hawe chini nawe uwe juu?
Kama unapenda power nenda kaoe pangu pakavu, hasie jua haki yake wala haki ya binadam kiujumla, mpaka atakapojua ushamla hahaha. Mwanamke mwenye elim au akili timamu hamilikiki kaka. Kama unampenda basi kubali kuwa mkokoteni hapo utadumu nae. Ila ukitaka kuwa paa la nyumba, mmm hata saudi arabia wanaume wanakoma ubishi, kazi unayo