Nampenda Sana Lakin ana Misimamo sana

Nampenda Sana Lakin ana Misimamo sana

kindboy

Senior Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
142
Reaction score
28
Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi kama mwamaume ,je hii ndo style ya Lawyers wote ?ama ni tabia yake tu.
 
Hapana! Mbwebwe zake tu!
Afu mkuu mpenzi wangu hana msimamo, nadhani atakufaa, then na mimi unipe huyo mwenye msimamo!
Aisee nawapenda thaana, yani thaana wasichana wenye msimamo!
 
Unajua unapotafuta mpenz lazima mlingane misimamo akusikilize na umsikilize sio sababu ya Lawyer basi akugeuze client wake!! say NO maybe uwe unatafuta unafuu wa maisha kutoka kwake!! Mapenzi na ubabe haviendani
 
inabidi akupe nafasi pia km mwanaume wake/mpnzi wake,then u do the same hapo mnaenda sawa!
..mambo ya upannde m1 sio kabisa, i hate it....
Kwanza when it comes to lov,mengine hayana nafasi,ss km yy anatanguliza u-lawyer kazi unayo
 
akupeje nafasi?
ukiendelea hivyo atakutosa soon...

wewe simama kama mwanaume
fanya mambo yako weather yeye anapenda au hapendi
muache aamue kukufuata au la..
dont apologies for being a man...
 
mdau atakuwekea msimamo mpaka 6 kwa 6, siku akisema mwezi huu usiniguse inabidi ukabali maana huyo wa msimamo
 
Kuna mbinu unaweza kuitumia,ficha simu yake kwa siku tatu.Alafu kaka husiseme mnapendana sana,sema unampenda sana,mjini shule.
 
Fall for your type.....matawi mengine hayo mkuu. Ukiwa hivyo mbele ya demu aisee in longterm atakutosa tu unless na yeye mwenyewe yuko desperate ya mume ili aonekane ana bwana. Lakini mtakuwa mna migongano mingi kwenye maisha yenu.
 
Kwa mfano jambo gani alikata kukusikiliza na aliweka msimamo upi tofauti?
 
lara 1 njoo uone hii.
Yaani mwanamke mwenye akili na challenging anahitaji mwanaume mwenye akili. Ambae anaweza kukubali kuwa mke wangu umeona mbali kunizidi. Mwanaume anaethubutu kusema mke wangu wewe ni kichwa!
 
Last edited by a moderator:
Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi kama mwamaume ,je hii ndo style ya Lawyers wote ?ama ni tabia yake tu.

Hahahaaaaaaaa! I once tried to date a lawyer! LAWYERS JUST CANT RESIST THE NEED FOR YOU TO MAKE SENSE IN ANYTHING YOU DO OR SAY!!!!!!!!!!! And they have to SEE THAT SENSE BEYOND REASONABLE DOUBT!!!!!!!!!!

THERE SUSPICION LEVELS AND ANTI TRUST POLICY ARE WAY OVER THE TOP!!!!!!!!!!!!
 
Nina mpenzi wangu mdada ambaye ni Lawyer Hapa Jijin Dar tunapendana saana, ispokuwa ananichosha kwa kuzidi misimamo kwa kila jambo ambalo nitashauri lazima yeye atakuwa na mbadala hanipi nafasi kama mwamaume ,je hii ndo style ya Lawyers wote ?ama ni tabia yake tu.[/QUOT

Nafasi gani ya kiuwanaume unayotaka? kwani anakugeuza mwanamke?
kwani unataka kummiliki nini? Mwanamme kua mlalamishi haipendezi, na wala kujilinganisha na mwanamke na kushindana na mwanamke haipendezi. Au unataka hawe chini nawe uwe juu?

Kama unapenda power nenda kaoe pangu pakavu, hasie jua haki yake wala haki ya binadam kiujumla, mpaka atakapojua ushamla hahaha. Mwanamke mwenye elim au akili timamu hamilikiki kaka. Kama unampenda basi kubali kuwa mkokoteni hapo utadumu nae. Ila ukitaka kuwa paa la nyumba, mmm hata saudi arabia wanaume wanakoma ubishi, kazi unayo
 
Hapana! Mbwebwe zake tu!
Afu mkuu mpenzi wangu hana msimamo, nadhani atakufaa, then na mimi unipe huyo mwenye msimamo!
Aisee nawapenda thaana, yani thaana wasichana wenye msimamo!

Teh teh teh,kuna wa2 mnajua kuchekesha jaman mwenzio aomba ushaur ww unamwambia mengne!
 
Unajua mzazi hao wanasheria wote ndivyo walivyo wanafundishwa kupinga tu kila kitu hata km sio sahihi watakiletea hoja mpaka kionekane sahihi .ndio misimamo yao hiyo.
Wanaweza kukitetea kitu cheupe mpaka kionekani cheusi kwa misimamo yao hao jamaa
 
Kiukweli wadada wengi waliosoma sheria wanakua "woman of principles".
Sheria inawaathiri zaidi mabinti ktk mahusiano, kwa mwanaume si sana labda tabia ya mtu binafsi na kujiendekeza tu
 
Back
Top Bottom