Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari kaka Magical power
, nina umri wa miaka 33 Nina Mtoto mmoja, sielewi Mimi ni single au nijiteje kuna jamaa ambaye tumetokea kupendana kwa miezi nane sasa, ila tatizo nikuwa aliachana na mke wake na ana watoto watatu na huyu ex wake.
Nampenda sana lakini kila nikiwaza kulea watoto ambao sijawazaa moyo unakuwa mzito kuolewa naye mtu azae Mitoto 3 yote ikasumbue kichwa Mimi na ubaya kitoto chake Cha mwisho cha kike kinemfanana mama yake nikikaona najaa wivu nahuzunika sana.
Na Inavyosemekana kwamba mama wa hawa watoto ni mtu anayependa ugomvi sana.
Nahitaji ushauri nifanye nini kwa hili nampenda sana mwanamume?