Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

Nampenda sana lakini nahc ananipotezea muda

Barinasyo

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo
 
mie hawa watu tunaokutana nao kny mitandao ya jamii naogopa sana,full magumashi.....nahisi nikiolewa naye nitabaki nikiwonder kama hatafuti wengine kny mtandao...mnh:redface::redface:
 
mie hawa watu tunaokutana nao kny mitandao ya jamii naogopa sana,full magumashi.....nahisi nikiolewa naye nitabaki nikiwonder kama hatafuti wengine kny mtandao...mnh:redface::redface:

Kuntu!
 
Jamani tuweni makini na hawa wapenzi wa kwenye mitandao kwani ni rahisi sana kukutenda maana hakufahamu kabisaa... Mi nadhani huyo Kaka nia yake alikuwa anataka tuu akuchune halafu aingie zake mitini.. Pia Usimwamini mtu usiyemfahamu kiasi cha kufikia kumpa moyo wako woote.... We should love carefully.. Huyo mwanaume hana mapenzi ya kweli na wewe..
 
mapenzi bila ya kuonana ni uzushi., halafu anakuomba pesa na unampa LoL!! hujui kuna watu wamejukuta wana'relationship' na mtu wa jinsia yao kwenye hii mitandao. chunga sana binti utaumia
 
Huna hata sababu ya kuuliza hapa wakti majibu tayari unayo.Huyo ni Tapeli/fisadi wa mapenzi..Ndio umeshalizwa hivo.Ganga yajayo
 
neylu, mi nashangaa sana, unahongaje mwanamme?

Au sijawahi penda?

At the same time, hivi ni saa ngapi ni halali kwa mwanamke kumsaidia mpenzi wake kama kakwama?

Na je vijizawadi navyo ni kuhonga?
 
Last edited by a moderator:
neylu, mi nashangaa sana, unahongaje mwanamme?

Au sijawahi penda?

At the same time, hivi ni saa ngapi ni halali kwa mwanamke kumsaidia mpenzi wake kama kakwama?

Na je vijizawadi navyo ni kuhonga?

Yaani.. Mi sikatai kumsaidia mpenzi wako maana haya maisha ni kusaidiana, lakini huwezi kuniambia nimsaidie mwanaume wa mtandaoni ambaye hata sijawahi kumuona na wala sijui nia yake kwangu... Maisha yenyewe yalivyo magumu unaweza ukajikuta una vaa nguo zimechoka kisa uko busy kumhudumia mwanaume wa Mtandaoni.. Lol.. SIJAPENDA KIHIVYO..
 
Muda mdogo na we have a lot of things to do. Huwezi kurudisha time back hivyo don't let anyone waste ur time lady.
 
Mkubalie aje kwako muonane, mfungue ukurasa mpya wa mapenzi!
Muandali juice na chakula cha mchana.

Mungu akutangulie
 
Mkubalie aje halafu akifika tu peleka yeye polisi.......mfungulie kesi ya wizi wa kuaminiwa
 
he he he, kulea mwanamme wito lol

Yaani.. Mi sikatai kumsaidia mpenzi wako maana haya maisha ni kusaidiana, lakini huwezi kuniambia nimsaidie mwanaume wa mtandaoni ambaye hata sijawahi kumuona na wala sijui nia yake kwangu... Maisha yenyewe yalivyo magumu unaweza ukajikuta una vaa nguo zimechoka kisa uko busy kumhudumia mwanaume wa Mtandaoni.. Lol.. SIJAPENDA KIHIVYO..
 
ha ha ha
ndo maana kesi za kubaka haziishi.

Kuna wakati unachojoa nguo mwenyewe ili ubakwe kwa kushawishiwa.

Wanamme wabaya!

Sio wabaya hujawajulia tu, ukiwajua utafaudu.......kam zis wei Konnie
 
Back
Top Bottom