Nampenda sana Mahondaw

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake.
Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na nikupeleke Ibiza ukale maisha sio vumbi la hapa bongo
Mahondaw popote ulipo sikia kilio changu.
 

ic hapo kweli unaweza honga hata mshahara wa mwezi mzima,
 

Mbona wakawaida sanaaa!!!
 
Ohoooooo wewe sasa unataka kuleta varangati humu la kufa mtu na mpenzi wake mahondaw. Shauri yako.

 
Cc:Smart911!πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Naona Mtoto amenyooka vibaya mkuu,,,,,,,duniani kuna watu wamependelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…