Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Huyu FORTA kama sio Ivuga ni Behaviourist kama sio Behaviourist ni yule mwingine yule kama si yule atakua Yulee mmoja hivi
Make ndo wananichokonoaga kweli humu ilimradi tu kuona tunagombana na smart
Khakhaakhaa ishakula kwenuu hata mje ukoo mzimaa kwa taarifa ndogo tu mission impossible

Mwaka wenuu huu mtahangaika sanaaaaa
Mahondaw na Smart911 the muzungu hatuachaniiii NG'O
 
Hujui tu Valentina yani watu wana vitimanyongo humu dahhhhhhhhhhh!
Mahonda mpenzi naona unatumia nguvu kubwa kitu ambacho ni utani wa kawaida wa Jf...

Achana nao bwana,take it easy,try to relax. Labda kama hiyo picha ingekua yakwako halisi,ningeona kweli mleta uzi kadhamiria.

Usiwe mwepesi wa kukasirika na kutake serious vitu kama hivi. Unaharibu mood yako bure,usivipe vitu vidogo nafasi ya kufuta tabasamu lako wakati unauwezo wa kuvipotezea

BTW matani ya hapa Jf nadhani unayajua. Na huenda kweli kuna watu wanataka kukuharibia penzi lako kwa smart usiwape nafasi ya kutimiza azma yao kwa kupambana nao kwa kurushiana maneno ya hasira wewe focus na Mr wako,kua tulizo la moyo wake achana na hizi kelele za nje....
 
Huyu FORTA kama sio Ivuga ni Behaviourist kama sio Behaviourist ni yule mwingine yule kama si yule atakua Yulee mmoja hivi
Khakhaakhaa kwa taarifa ndogo tu mission impossible

Mwaka wenuu huu mtahangaika sanaaaaa
Mahondaw na Smart911 the muzungu hatuachaniiii NG'O
Hapana. Sio mimi..mimi kwani nakuogopa hadi nianze kufanya mambo ya ajabu ajabu.
Mimi najua tunapenda sema tu smart kiswahili kingi kakupata basi ila huko unazurira tu lazima urudi kwangu
 
Huu Uzi ukiupitia Kwa ufup Tuu usipo Cheka Hata Kidogo Aitheeee acha tuu Najichekea
 
Kuna members wana akili za ajabu sana... Wanachotafuta ni sifa na attention. Kwa nini mnapenda kuharibu mahusiano ya watu... mahondaw yumo JF muda mrefu sana hakuna aliyemtamani... Leo hii yupo na Smart911 unakuja na thread yako ya kibwege na ya kitoto kama hii...

Smart911 na mahondaw kamwe hatutakuja kuachana... Na aliyekutuma mwambie huu ni mchezo wa kitoto sana... Who ever you are kama ni mwanamke au mwanaume utajijua na jinsia yako mwenyewe...

Kwa nini unataka kuharibu furaha yangu na mahondaw... Unajua mahondaw unajua alhamisi anatukio gani muhimu.. Alfu mpuzi kama wewe from no where unakuja kuleta ujinga...


Mimi sipendagi malumbano lakini kwa thread kama hii ya kichoko... Na kama mwanamke alikukataa kuna haja gani ya kuingia na ID tofauti na kumuharibia... Nilichukia sana... Na nusu nimuharibu mahondaw... Lakini nimesema kwa nini wakati nampenda sana...

Jinga moja ambalo linaleta thread ya kumuudhi mahondaw ili nalo lionekane linajua kubandika thread kumbe anabunguliwa tu... Leave mahondaw alone... She will never be wa mtu yoyote zaidi ya wa Smart911


Kama kweli unamjua mahondaw njoo alhamisi uone navyomvisha pete ya uchumba alafu ujitokeze na kusema huu utumbo uliyopost hapa...

Sidhani kama nina plan zozote za kumuacha mahondaw... mahondaw ni wa Smart911... Smart911 ni wa mahondaw...


@mahondow love.. Sorry kwa kusema surprise iliyopo alhamisi for you...
Huyu bwege sijui anatafuta bwana


mahondaw mpenzi wangu... Don't worry with anything kweli nimechukia sana... Lakini jua kwamba nakupenda sana... Hata zianzishwe thread 1000 the truth remains you are becoming my wife...

Huyu member atakuwa ametumwa... Ila ameshindwa...
 
Mate i hope shem ni muelewa na atachuja maana humu kuna wavulana ma.........(nisaidie kujaza tusi)

Just calm down, kayajenge na shem wangu wa ukweli.
espy... Huyu aliyeanzisha hii thread mbona hana ni wa kawaida sana...anajaribu kujua rangi za watu.. Anatafuta kujua nani ni nani humu...

Sina ubaya na mahondaw... Nilichukia ila nimemsamehe... Hana chochote anachokijua mahondaw wangu.. Ni mlevi mmoja kaamua kujipitisha tu...
 
Back
Top Bottom