Nampenda sana Mimi Mars mpaka nahisi kuugua

Yaaa kana muonekano wa utukutu wa mapenzi... Kanafaa kwa matumizi kimtindo
Alikuwa maarufu tangu akiwa mdogo wakati akifanya matangazo ya biashara kwenye Tv, alikuwa akionekana kwenye tangazo la magodoro ya tanform ( ALINUNUA BABU MPAKA MJUKUU ANALITUMIA)
 
Mimi mars v /s Elizabeth michael ( lulu )

[emoji16] [emoji51] [emoji119]
 
Alikuwa maarufu tangu akiwa mdogo wakati akifanya matangazo ya biashara kwenye Tv, alikuwa akionekana kwenye tangazo la magodoro ya tanform ( ALINUNUA BABU MPAKA MJUKUU ANALITUMIA)
Kumbe
 
Hizi chujio za insta zinawadanganya kweli
 
I real love mimi mars,kana sauti nzuri. Yaani very charming
 
watu mnapenda kujitafutia matatizo..sio mali ya mtoto wa Kimei hii? sasa na weee babako ana benki tukutafutie namba yake chapchap
 
Mwanamke wakipare utamuweza wewe? Hawataki mchezo mchezo, shauri yako
 
Back
Top Bottom